# Unapungukiwa kitu kimoja "Kuna kitu kimoja unapngukiwa." Hapa Yesu anazungumza juu ya tendo la kutofanya kitu fulani" kama "kupungukiwa." "Kuna kimoja ambacho haujafanya" # unapungukiwa hauna kitu fulani # uwape masikini Hapa neno "u" urejea kwa vitu anavyouza na ni kifungu cha maneno kinachosimama badala ya pesa mtu anayopokea anapouza. "wape masikini pesa" # masikini Hii urejea kwa masikini. "watu masikini" # hazina "utajiri" # alikuwa na miliki nyingi "alimiliki vitu vingi"