# Kwanini unaniita mwema AT: Unapaswa kufikiria kwa umakini unacho ashiria (AU, kile ambacho unaashiria nilivyo) kwa kuniita mwema, kwa sababu Mungu pekee ndiye mwema!