# katika mji na nchi Inaweza kusemwa kwa usahihi kuwa watu walitoa taarifa yao kwa watu walikuwa katika mji na nchi. # Jeshi Hili lilikuwa jina la mapepo mengi ambayo yalikuwa ndani mwa mtu. # katika akili yake timamu Hii ni lugha inayoamaanisha kuwa anafikiri vizuri. "kwa akili timamu" au "kufikiri kwa usahihi. # waliogopa Neno "wa" urejea kwa kundi la watu walioenda nje kuona nini kimetokea.