# Sentensi unganishi Baada ya Yesu kutuliza dhoruba kubwa, anamponywa mtu aliyekuwa na mapepo mengi, lakini wenyeji wa Gerasi hawakufurahi kwa uponyaji wake, na walimuomba Yesu aondoke. # Walikuja Neno "Wali" urejea kwa Yesu na wanafunzi wake. # bahari Hii urejea kwa Bahari ya Galilaya # Gerasenes Hili jina urejea kwa watu wanaoishi Gerasi. # akiwa na roho chafu Hii lugha inayomaanisha kwamba mtu "ametawaliwa" au "kumilikiwa" na roho chafu. "kutawalia na roho chafu" au roho chafu kumiliki"