# Marko 04 Maelezo ya Jumla ## Muundo na upangiliaji Marko 4:3-10 huunda mfano mmoja. Mfano huo umeelezwa katika 4:14-23. Baadhi ya tafsiri huweka kila mstari wa mashairi upande wa kulia zaidi kuliko maandiko yote ili iwe rahisi kusoma. ULB inafanya hivyo kwa mashairi katika 4:12, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale. ## Dhana maalum katika sura hii ### Mifano Mifano ni hadithi fupi ambayo Yesu aliwaambia ili watu waweze kuelewa kwa urahisi somo alilojaribu kuwafundisha. Pia aliwaambia hadithi ili wale ambao hawakutaka kumwamini wakose kuelewa kweli. ## Links: * __[Mark 04:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../03/intro.md) | [>>](../05/intro.md)__