# Na aliwaambia wanafunzi wake kuwa na mtubwi mdogo... ili kwamba wasije wakamsonga. Kama ilivyokuwa umati mkubwa ulikuwa unamsonga Yesu, alikuwa katika hatari ya kusongwa. Katika mstari wa 9-10 yameunganishwa na kusemwa taarifa dhabiti kwa usahihi. # aliwauliza wanafunzi wake "Yesu aliwambia wanafunzi wake" # Kwa kuwa aliponya wengi, ili kwamba Neno "wengi" umaanisha idadi kubwa ya watu waliokwisha ponywa na Yesu. "Kwa sababu Yesu alikuwa ameponya tayari watu wengi, kila mmoja" # yeyote aliyekuwa na mateso alikuwa na shauku ya kumsogelea ili kwamba amguse. "wagonjwa wote walimsonga wakiwa na shauku ya kumgusa"