# Sentensi unganishi Yesu aliendelea kuponya watu kama alivyofuatwa na umati mkubwa pindi alipotaka kuwa mbali nao. # bahari Hii urejea bahari ya Galilaya # Idumaya Huu ni mkoa, hapo awali ulijulikana kama Edomu, ambao ulikuwa mpaka nusu ya kusini mwa mkoa wa Uyahudi. # mambo aliyokuwa anafanya Hii inarejea kwa miujiza ya Yesu aliyokuwa akifanya. "miujiza mikubwa aliyokuwa akifanya" # alikuja kwake "alikuja alipokuwa Yesu"