# Sentensi unganishi Yesu amponya mtu siku ya Sabato katika Sinagogi na kuonyesha jinsi anavyojisikia walivyofanya Mafarisayo kuhusiana na sheria za Sabato. Mafarisayo na Maherode wanapanga kumua Yesu. # Baadhi ya watu "Baadhi ya Mafarisayo." Badae, katika 3:5, hawa watu wanaonyeshwa kama Mafarisayo. # mtu aliye na mkono uliopooza "mtu aliye na mkono uliopooza" # Baadhi ya watu walimtazama kuona kama atamponya "Mafarisayo walimtazama Yesu kwa karibu sana kuona kama atamponya na mkono uliopooza" # mshtaki Mafarisayo walitaka kumshtaki Yesu kwa kuvunja sheria kwa kufanya kazi siku ya Sabato, je amponye mtu. "kumshtaki yeye kwa kufanya kosa" au " kumshtaki yeye kwa kuvunja sheria"