# Sentensi unganishi Baada ya kuhubiri na kuponya watu kote Galilaya, Yesu anarudi Kaperinaumu anako mponywa na kumsamehe dhambi mtu aliye pooza # Ilisikika kwamba alikuwa nyumbani Hii inaweza kutajwa katika kauli tendaji. watu wa pale walisikia kwamba alikuwa katika nyumba ile ile. # wengi walikusanyika hapo Hii inaweza kutajwa kama kauli tendaji. "kwa hiyo watu wengi walikusanyika" au "watu wengi walikuja nyumbani" # haikuwepo nafasi ya ziada Hii inarejea hapakuwa na nafasi ndani ya nyumba. "haikuwepo nafasi tena kwa ajili yao mule ndani"