# Sentensi unganishi Yesu anachukua muda kuomba katikati ya wakati wake wa kuponya watu. Badae anaenda mjini kupitia Galilaya kuhubiri, kuponya na kutoa mapepo. # Maelezo ya jumla Hapa maneno "yeye" na "yeye" urejea kwa Yesu # Mahali pa faragha "mahali ambapo anaweza kuwa peke yake" # Simoni na wale walikuwa naye Hapa "yeye" urejee kwa Simoni. Pia, wale waliokuwa pamoja naye akiwemo Andrea, Yakobo, Yohana, na inawezekana watu wengine. # Kila mmoja anakutafuta wewe Neno "kila mmoja" linafafanua namna watu wengi waliomtafuta Yesu. "Watu wengi wanakutafuta wewe"