# walinzi kwa Warumi Ilimaanisha maaskari wanne hadi kumi na sita # jiwe liligongwa muhuri Inaweza kumaanisha 1) waliweka kamba karibu na jiwe na kuliunganishana kuta za lile jiwe katika pande zote za lango la kaburi au 2) waliweka mihuri katkati ya jiwe na kuta # na kuweka walinzi "kuwaambia walinzi wasimame mahali ambapo wataweza kuwazuia watu ambao watadirika kufanya chochote kaburini.