# Basi Hili neno limetumika kuonesha mwanzo wa habari mpya. Mathayo anaaza kueleza sehemu nyingine ya habari # na wale ambao walikuwa wakimtazama "na wale maaskari waliokuwa wakimtazama Yesu" # Mwana waMungu Hiki ni cheo maalumucha Yesu kinachoonesh uhusiano na Mungu # mama wa watoto wa Zebedayo "Mama wa Yohana na Yakobo" au "mke wa Zebedayo"