# mmoja wao inaweza kumaanisha 1)mmoja wa maaskari au 2) mmoja wale waliokuwa wamesimama karibu wakitazama # sifingo Huyu ni mnyama wa majini ambaye anapokuwa amevuliwa lile ganda lake liliweza kutumika kwa kuwekea vitu kama maji na kinywaji ambacho kinaweza kusukumwa nje. # na kumpa "akampa Yeu # akaitoa nafsi yake "akafa akiitoa roho yake kwa Mungu" au "akapumua pumzi ya mwisho"