# Ndipo ... Yesu auawe Neno "ndipo" limetumika kumaanisha mwanzo wa habari. Yesu anaeleza kwa nini umati ulimchagua Baraba. # Yesu auawe Askari wa Rumi wamuue Yesu" # aliwauliza "aliuliza umati" # anayeitwa Kristo "ambaye watu baadhi humwita Kristo"