# Sentensi unganishi Hii ni habri ya Petro akimkana mara tatu kuwa anamjua Yesu, kama vile Yesu alivypkuwa amaesema kuwa atafanya. # Maelezo kwa ujumla Matukio haya yanatokea sambamba na majaribu ya Yesu kwa viongozi wa dini # Wakati huo Hili neno linaonesha kuanza kwa habari nyingine. Mathayo anaanza kuwaambia sehemu ya habari. # Sijui kile unachosema. Petro aliweza kufahamu alichosema mjakazi. Alitumia maneno haya kukana kwamba alikuwa pamoja na Yesu.