# Kisha wali Maana yaweza kuwa: "Kisha baadhi ya watu" au "Kisha askari" # Walimtemea usoni. Hili ni tendo la kufedhehesha. # Tutabirie. Hapa "tutabirie" humaanisha, "tuambie kwa kutumia uwezo wa Mungu." Haimaanishi, "tuambie kitu gani kitatokea kwa wakati ujao." # Wewe Kristo Wale waliokuwa wakimpiga Yesu. Walimwita kwa kumdhihaki