# Sentensi unganishi Hii inaazisha habariy a Yesu akiomba Gethsemane # na akaanza kuhuzuniaka "na akawa na huzuni sana" # Roho yangu inahuzuni kubwa sana Hapa roho inamaanisha nafsi nzima ya mtu. "Nina huzuni sana" # kiasi cha kufa "Najihisi kama nataka kufa"