# Aliketi chini apate kula. Tumia neno kwa mkao ambao watu katika utamaduni wako daima hukaa wakati wa kula. # kweli nawaambia "Nawaambia ukweli." Huu ni msisitizo wa kile kilichofuata # Hakika siyo mimi, Bwana? "Nina hakika mimi siye, Je, ni mimi?"