# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kueleza mfano # Kutayarisha taa zao. "Wakarekebisha taa zao ili ziwake kwa mng'ao." # Wapumbavu walisema na welevu. "Wanawali wapumbavu walisema na wanawali welevu." # Taa zetu zinazimika "Moto katika taa zetu unaelekea kuzima."