# Sentensi unganishi Yesu anaongea mfano wa wanawali wenyebusara na wale wanawali wajinga kufundisha kuwa wanafunzi wake wanapaswa kujiandaa kwa ajili y a kurudi kwa Yesu # ufslme wa mbinguni utafananishwa na Tazama 13:24 # Lamps. Hizi ziliweza kuwa, 1.taa zenyewe au mienge iliyotengenezwa kwa kuwekewa kitambaa kuzunguka mwisho wa mti na hulowanishwa na mafuta. # Watano kati yao. Watano kati ya wanawali. # Hawakuchukua mafuta yoyote. "Waliyokuwa nayo ni yale tu yaliyokuwa katika taa zao."