# Sentensi unganishi Yesu anaanza kuwaambia wanfunzi wake kuwa tayari kwa ajili ya kurudi kwake # Ndipo. Wakati Mwana wa Adamu ajapo. # Mmoja atachukulia, na mmoja ataachwa nyuma. Maana za karibu: 1. Mungu atamchukuwa mmoja kwenda mbinguni na ataacha mmoja duniani kwa ajili ya adhabu, au 2. Malaika watamchukua mmoja kwa ajili ya adhabu na kumuacha mwingine kwa ajili ya baraka. # Kinu. Chombo cha kusagia. # Kwa hiyo. "Kwa sababu ya kile nilicho waambia." # Kuweni macho. Kaa tayari.