# siku ile na saa hapa "siku" na "saa" vinamaanisha muda halisi ambao mwana wa Adamu atarudi # Wala Mwana. "Hakuna hata mwana" # mwana Hiki ni cheo muhimu cha Yesu, Mwana wa Mungu # Baba Hiki ni cheo muhimu cha Mungu