# Lakini mara "wakati huo" # dhiki y a siku hizo "wakati huo wa dhiki" # Jua litatiwa giza. "Mungu atalifanya jua liwe giza." # Nguvu za mbinguni zitatikisika. " Mungu atatikisa vitu katika mbingu na juu ya anga."