# ya wenye haki "ya watu wenye haki" # siku za baba zetu "wakati wa mababu zetu" # tusingekuwa tumeshiriki pamoja nao "tusingekuwa tumeshirikiana nao" # kumwaga damu Damu inamaanisha uhai. kumwaga damu inamaanisha kuua. "kuua" au "mauaji" # watoto wa hao "watoto inamaanisha uzao"