# Bali aliye mkubwa miongoni mwenu "mtu maarufu miongono mwenu" # miongoni mwenu kiwakilishi "mwenu" ni cha wingi na kinamaanisha wafuasi wa Yesu # Yeyote ajiinuaye "ajifanyaye mwenyewe kuwa maarufu." # atashushwa "Mungu atamshusha # atainuliwa Mungu atamuheshimu