# Sentensi unganishi Yesu anawauliza Mafarisayo swali gumu ili kuzuia mpango wao wa kumkamata. # Sasa Neno hili limetumika ili kuonesha mwanzo wa habari mpya. Mathayo anaanza kueleza sehemu mpya ya simulizi wakati Yesu alipowauliza viongozi wa dini swali. # Mwana ... mwana wa Daudi vyote hivi "mwana" vinamaanisha "kizazi"