# Kwa nini mnanijaribu, enyi wanafiki? "msinijaribu mimi enyi wanafiki" au "Najua kuwa ninyi wanafiki mnajaribu kunijaribu!" # Dinari. Sarafu ya kirumi yenye thamani ya ujira wa siku.