# Sentensi unganishi Kuwakemea viongozi wa dini na kuonesha kutokuamini kwao, Yesuanafundisha mfano wa sherehe ya harusi # nao "watu" # Ufalme wa mbinguni unafanana na. Tazama 13:24 # Wale wote waliokuwa wamealikwa. "Watu ambao mfalme alikuwa amewaalika."