# Sentensi unganishi Yesu anaanza kuelezea mafano wa watumishi wapinazani # Maelezo kwa ujumla Yesu anamnukuu nabii Isaya kuonesha kwamba Mungu atamheshimu yule ambaye viongozi wa dini wanamkataa. # Yesu akawaambia Tazama 21:40 # Hamkusomakatika maandiko ... machoni'? "Fikiria juu ya kile ambacho mmesoma ... macho" # Jiwe waliliolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni Yesu ananukuu kutoka Zaburi. Hii ni sitiari inamaanisha viongozi wa dini, kama wajenzi, watamkataa Yesu, lakini Mungu atamfanya kuwa wa muhinmu katika ufalme wake, kama jiwe kuu la pembeni katika ujenzi. # limekuwa jiwe kuu la pembeni "limekuwa jiwe kuu la pembeni" # Hili lilitoka kwa Bwana "Bwana ndiye aliyefanya haya mabadiliko # inashangaza machoni petu Kirai cha "machoni petu" kinamaanisha kuona. "ni maajabu kuona"