# Sentensi unganishi Hii inaanzisha habari ya viongozi wa dini wakimhoji Yesu # alipofika hekaluni Inamaanisha kuwa Yesu hakuingia hekaluni ndani. Aliingia kwenye korido la hekalu # mambo haya Hii inamaanisha mafundisho na uponyaji wa Yesu mle hekaluni. Pia inaweza kumaanisha tukio lililofanyika siku moja kabla la Yesu kuwafukuza wanunuzi na wachuuzi.