# Sentensi ungsnishi Akijibu swali ambalo Yesu aliulizwa na mama wa wale wanafunzi wawili, Yesu anafundisha wanafunzi wake juu ya mamlaka na kuwatumikia wengine katika ufalme wa mbinguni # Wana wa Zebedayo Hii inamaanisha Yakobo na Yohana # mkono wako wa kulia ... mkono wako wa kushoto Maana yake ni uwezo wa kuwa na nguvu, mamlaka, na heshima. # katika ufalme wako Hapa "ufalme inamaanisha utawala wa Yesu kama mfalme. "utakapokuwa mfalme"