# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kueleza mfano # Mmoja wao "mmoja wa wafanyakazi waliofanyakazi kwa muda mrefu # Rafiki Tumia neno ambalo mtu moja angelitumia kumtambulisha mtu mwingine ambaye anamkemea kwa upole # Je, hatukukubaliana na mimi kwa dinari moja Mmilki wa shamba anatumia swali kumkemea mfanykazi aliyekuwa akilalamika. "tumeshakubaliana kuwa nitakulipa dinari moja" # Dinari moja "malipo ya kibarua ya siku moja"