# Mathayo19 Maelezo ya Jumla ## Dhana maalum katika sura hii ### Mafundisho ya Yesu kuhusu talaka Katika sura hii, Yesu anafundisha kuhusu talaka. Ilikuwa jibu la changamoto lililotolewa na Mafarisayo. Mafundisho yake Yesu yanategemea nia ya awali ya Mungu katika kuunda ndoa. Yesu anaonyesha makosa ambayo viongozi wa dini walifanya katika desturi zao kuhusu ndoa. ## Links: * __[Matthew 19:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../18/intro.md) | [>>](../20/intro.md)__