# Maelezo kwa ujumla Huu ni mwanzo wa simulizi jipyaamabalo linanaishia 22:45, ambayo inaonesha Yesu akihudumia huko Yudea # Maelezo kwa ujumla Mistari hii inatoa historia ya jinsi Yesu alivyokuja Yudea # Ilitokea wakati Habari inaeleza jinsi Yesu alivyositisha mafundisho yake kwenda tukio lililofuata # Alipomaliza maneno hayo kile Yesu alichofundisha kuanzi 18:1 # akaondoka "alitembea kutoka" au "akatoka"