# Sentensi unganishi Yesu anamalizia mfano wake juu ya msamaha na upatanishi # Maelezo kwa ujumla Huuni mwaisho wa shsemu y a simulizi iliyoanzia 18:1 mahali ambapo Yesu anafundisha juu ya maisha katika ufalme wa mbinguni. # Bwana wake "Mfalme" # kumkabidhi kwa "alimtoa kwa" inawezekena kuwa mfalme mwenyewe hakumkabidhi yule mtumwa wa kwanza kwa watesaji," "Aliwaagiza watumwa wake wamkabidhi" # kwa watesaji "kwa wale ambao wangemtesa" # alichokuwa anadaiwa Hii inaweza kutafasiriwa kwa mafumo tendaji. Kile ambacho mfalme alimdai yule mtumwa wa kwanza" # baba yangu wa mbinguni Hiki ni cheo muhimu kwa Mungu kinachoonesha uhusiano kati ya Mungu ya Yesu. # mmoja wenu ... kwenu Viwakilishi vyote hivi viko katika wingi. Yesu anaongea na wanafunzi wake, lakini mfanohuu unafundisha ukweli ambao unaweza kutumiwa na waamini wote # ndugu yake "ndugu yake" # moyoni mwenu Hii ni nahau. "kwa ukweli" au "kwa ukamilifu"