# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwaambia mfano wanafunzi wake # alienda na kumtupa gerezani "yule mtumwa wa kwanza alienda na kumtupa gerezani mtumwa mwenzake" # "watumwa menzake" "watumwa wengine" # walimwambia bwana wao "walimwambia mfalme"