# alianguka, akapiga magoti chini Hii inammanisha kuwa yule mtumwa aliongea na yule mfalme katika hali ua unnyenyekevu mkubwa. # mbele yake "mbele ya mfalme" # alaisukumwa sana na huruma "alimhurumia yulemtumwa" # alimwachilia alimwacha aende"