# Sentensi unganishi Yesu anatumia mfano kufundisha juuya msamaha na mapatano # Ufalme wa mbinguni unafanana Hii inatoa utangulizi wa mfano. Tazama 13:24 # Kusahihisha hesabu na mtumwa wake "ili awalipe watumwa wake kile walichostahili" # Mtumishi mmoja akaletwa "mtu fulani akamleta mmoja wa watumishi wa wafalme" # Talanta elfu kumi "Talanta 10,000" au " fedha nyingi zaidi kuliko mtumishi alizoweza kulipa # Mkuu wake aliamuru auzwe,...na malipo kufanyika "mfalme aliwaamuru watumishi wake kumuuza huyo mtu...na kulipa deni kwa fedha ya mauzo"