# akipuuza kuwasikiliza kama huyo nndugu akipuuza kuwasiliza mashahidiuliokuja nao # kanisani kwa waumini wote # Mwacheni awe kwenu kama mtu wa mataifa na mkusanya ushuru "Mchukulie kama utakavyomchukulia mtu wa mataifa au "mtoza ushuru. Maana yake ni kwamba wamwondoe kati ya jamii ya waumini.