# Sentensi unganishi Hii inaanzisha habari ya Yesu akimponya kijana aliyekuwa na roho mchafu.Tukio hili limetokea baada ya Yesu na wanafunzi wake kushuka kutoka mlimani. # umhrumie mwanangu inamanisha kuwa yule mtu alimtaka Yesu amponye mwanae. "umhurumie mwangu na umponye" # amaekuwa na kifafa Hii inamaanisha kuwa wakati mwingine hupoteza fahamu