# Sentensi unganishi Yesu antabiri kifochake na anaanza kuwambia wanafunzi wake gharama za kumfuata. # kuanzia muda huo Baada ya Yesu kuwaamuru wanafunzi wake kutokumwambia yeyote kuwa yeye ni Kristo, alianza kushirikisha kile kitakachotokea Yerusakamu # Kuteswa kwa mambo mengi katika mikono ya wazee na wakuu wa makuhani na waandishi Hapa "mikono " inamaanisha mamlaka. Ambapo wazee, makuhani na waandishi watamsababishia maumivu # kuuawa watamuua # jambo hilina liwe mbali n a wewe "hapana" au "halitatokea" au "Mungu alizuie" # kufufuka siku ya tatu "siku ya tatu, Mungu atamfanya aishi tena" # rudi nyuma yangu shetani wewe ni kizuizi Yesu anamaanisha kuwa Petro anafanya kazi kama shatani kwa sababu Petro anajaribu kumzuia Yesu kukamilisha kile ambacho Mungu amemtuma Yesu. "Rudi nyuma yangu kwa sababu unafanya kama shetani! wewe ni kikwazo kwangu.