# Sentensi unganishi Yesu anawauliza wanafunzi kama wanaelewa kuwa yeye ni nani # Lakini ninyi mwasema mimi ni nani? "Lakini ni ninyi ninaowauliza:mnasema kuwa mimi ni nani?" # wakati Neno hili limetumika kuonesha mwanzo wa habari kuu au kumtambulisha mtu mwingine, Mathayo anaanza kueleza habari mpya. # Mwana wa Adamu Yesu anamaanisha yeye mwenyewe # Mungu aliye hai Hapa neno "hai" linalinganisha Mungu wa Israeli na Miungu wengine wa uongo na masananu ambayo watu waliabudu. Mungu aliye ndiye Mungu pekee mwenye nguvu za kutenda.