# Maelezo ya jumla Hii inaanzisha mapambano kati y a Mafarisayo na Masadukayo # kumjaribu walimkosoa au walitaka kukamata # ilipokuwa jioni ni wakati wa siku ambapo juu huzama # hali nzuri ya hewa hali nzuri, shwali na ya kuvutia # anga jekundu Wayahudi walijua kuwa, kama anaga litabarika na kuwa jekundu ilikuwa dalili ya kuwa siku inayofuat itakuwa nzuri