# Sentensi unganishi Mistari hii inaeelza kile kilichotokea baada ya Yesu kutembea juu ya maji. Mistari hii inatoa muhtasari wa jinsi watu walivyokuwa wakiitikia kwenye huduma ya Yesu # Na walipokwisha kuvuka Wakati Yesu na wanafunzi walipokuwa wamevuka bahari # Genesareti Huu ni mji mdogo ulioko Kaskazini Magharibi mwa mji wa bahari ya Galilaya # walituma ujumbe "wanaume wa eneohilo waltuma ujumbe # walmsihi waagonjwa walimsihi # Pindo la vazi lake "chini yavazi" au "ncha ya vazi" # vazi "joho" au "kile alichokuwa amevaa" # waliponywa wakawa salama