# Maelezo kwa ujumla Yesu anawaeleza wanafunzi wake kwa nini anafundisha kwa kutumia mifano # kwao Hapa"kwao" inamaanisha wanafunzi wa Yesu # mmepewa upendeleo wa kufahamu siri za ufalme wa mbinguni bali kwao hawajapewa Hii inaweza kutafasiriwa kwa kutumia muundo tendaji na kutumia taarifa zinazotolewa. " Mungu amewapa fursa ya kuelewa siri za ufalme wa mbinguni" lakini Mungu hajawapa siri hizi watu hawa" au " Mungu amewafnya ninyi kuzielwa siri za ufalme wa mbinguni lakini hajawafanya hawa tayri kuzielewa" # mme ni kiwakilishi cha wingi kinacho maanisha wanafunzi wa Yesu # siri za ufalme wa mbinguni Hapa"ufalme" inamaanisha utawala wa Mungu. Kirai"udalme wa mbinguni" kinaonekena kwenye kitabucha mathayo tu. Kama inawezekana jaribu kuiweka katika tafsiri y ako. "siri kuhusu Mungu wetu na utawala wake" # yeyote aliye nacho "yeyote aliye na ufahamu" au "yeyote anayepokea kile nanachofundisha" # ataongezewa zadi Hiiinaweza kutafsiriwa katika muundo tendaji. "Mungu atampatia ufahamu zaidi" # ila asiye nacho "asiye na ufahamu" au " asiyepokea hiki ninachofudisha" # hata kile alicho nacho atanyang'anywa Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Mungu atakichukua hata kile alicho nacho"