# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwajibu Mafarisayo # Ama ufanye mti kuwa mzuri na tunda lake kuwa zuri, au uharibu mti na tunda lake maana yake ni 1) kama utafanya mti kuwa mziri na mtunda yake yatakuwa mazuri na kama ukiuharibu mti na matunda yake yatakuwa mabaya" au 2) "Kama ukiufanya mti kuwa mzuri na mataunda yake yatakuwa mazuri kwa sababu matunda yake ni mazuri na kama ukiyafanya matunda kuwa mabaya yatakuwa kwa sababu matunda yake ni mabaya." Hii ni mithali watu walipaswa kuutumia ukweli kwa jinsi wawezavyo kujua kama mtu ni mbaya au mzuri. # mazuri ... mabaya "eneye afya ... iliyougua" # mti hutambulika kwa tunda lake Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Watu hujua kama mti n mbaya aua mzuri kwa kutazama matunda yake" # ninyi kizazi cha nyoka Hapa "kizazi" inamaanisha "kuwa na tabia za." Kipiribao ni aina ya nyoka wenye sumu ambao ni hatarina wanawakilisha uovu" # niny ...nyie Hivi ni viwakilishi vya wingi na vinamaanisha Mafarisayo # mwawezaje kusema mambo mazuri Yesu anatumia swali kuwakemea Mafarisayo. "huwezi kusema mambo mazuri "Unaweza kusema mambo maovu tu" # kwa kuwa kinywa hunena kutoka katika akiba ya yaliyo moyoni Hapa "akiba ya moyoni" inamaanisha mawazo ya mtu katika akil iyake. "Kinywa" kinawakilishsa mtu. "Kile ambacho mtu husema katikakinywa chake kinafunua jinsi alivyo katika akili yake" # Mtu mwema katika akiba njema ya moyo wake hutoa wema, na mtu mwovu katika akiba ya uovuwake hutoa kilicho kovu. Yesu anaongea juu ya "moyo" kama vile kontena lilivyo amablo mtu anaweza kulijaza kwa mambo mazuri au maovu. Hii ni sitiari inayoonesha kile mtu anachosema kinafunua jinsi mtu alivyo.