# Sentensi unganishi Hapa Mthayo anamnukuu nabii Isaya kuonesha kuwa huduma ya Yesu ilitimiza unabii # Tazama "Angalia." Mungu alitumia neno hili kumleta mtu mwingine # mpe ...Nita Viwakilishi vyote vinamrejelea Mungu. Isaya ananukuu kile ambacho Mungu alimwambia # katika yeye nafsi yangu imependezwa Hapa "nafsi" inamanisha nafasi kamil. "na nimependezwa naye" # na atatangaza "na mtumishi wangu atatangaza" # atatangaza hukumu Hapa "hukumu" haimaanishi "adhabu" inamaanisha mtumishi atawambia mtaifa Mungu ni mwenye haki, na atawaokoa