# Maelezo kwa ujumla: Yesu alianza kuwakemea watu wa miji ambayo alianza kufanya miujiza. # kukemea miji Hapa "miji" inamaanisha watu walioishi kwenye hiyo miji. "alikemea watu wa miji hiyo" # miji ''miji'' # ambamo baadhi ya matendo yake makuu yalitendekea Hii inaweza kutafsiriwa kwa mfumo tendaji ''ambamo baadhi ya matendo yake makuu yalitendekea'' # Matendo makuu " matendo makubwa" au " kazi za nguvu ya Mungu" au "miujiza" # Ole kwako, Kolazini! Ole kwako, Bethsaiida! Yesu anaongea kiasi kwamba watu wa miji ya Kolazini na Bethsaida walikuwa pale wakimsikiliza, lakini hawakuwa wao. # kwa sababu hawakutubu Kiwakilishi ''hawa'' inarejelea kwa watu wa miji ile ambayo haikutubu. # Kama matendo makuu yangetendeka ... kwa kuvaa magunia na kujipaka majivu Yesu anafafanua kwa kubuni kuwa kama yangekuwa yametokea huko nyuma, lakini haikotokea # Kama matendo makuu yangetokea Tiro na Sidoni yale yaliyotendeka kwako Hii inaweza kutafsiriwa kwa mfumo tendaji. "Kama ningefanya matendo makubwa katika watu wa Tiro na Sidoni ambayo nimeyafanya kwenu" # Yale yaliyotendeka kwako ... kwako Kiwakilishi cha "kwako" ni cha wingi na kinamaanisha Korazini na Bethisaida. Kama tafsiri hii si kawaida ya lugha yako, utumie neno lenye maana mbili likimaanisha miji miwili au kiwakilishi cha wingi cha "ninyi" kwa kumaanisha watu wa miji ile. # Wangekuwa wametubu zamani Kiwakilishi "wa"kinarejelea watu wa Tiro na Sidoni. # wangetubu "inaonesha walihuzunishwa na dhambi zao" # Itakuwa uvumilivu kwa Tiro na Sidonisiku ya hukumu kuliko kwako Hapa " Tiro na Sidoni'' zinamaanisha watu wanoishi kwenye hiyo miji. "Mungu ataonyesha huruma zaidi kwa watu wa Tiro na Sidoni katika siku ya hukumu kuliko ninyi" au "Mungu atawapa adhabu kalizadi katika siku ya hukumu kuliko watu wa Tiro na Sidoni" # kuliko kwako maelezo kusudiwa yangewekwa wazi. "kuliko kwako, kwas sabasbu haukutubu na kuniamini, ingawa ulioniona nikifanya miujiza"