# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwaelekeza wanafunzi wake kuhusu dhiki wanayotakiwa kuvumilia pindi watapoenda kuhubiri # msi...yenu kiwakilishi "msi" na "yenu" vinamaanisha mitume kumi na wawili # msiwe na wasiwasi "msiwe na hofu" # jinsi gani au nini cha kuongea "jinsi gani ya kuongea au nini cha kusema." Haya mawazo mawili yanaweza kujumuishwa:"Ni nini cha kusema" # kwa kuwa kitu cha kusema mtapewa Hii inaweza kutafsirika katika mfumo tendaji. "Kwa kuwa Roho mtakatifu atawapa cha kusema" # kwa wakati huo Hapa wakati" unamaanisha "muda huohuo" au "kwa muda huo" # Pindi watakapowashutumu Kipindi watu watakapowashitaki kwenye mabaraza.""watu" hapa ni wale wale "watu" # Roho ya Mungu wako Ikiwa muhimu, inaweza kutafsiliwa kama "Roho ya Mungu baba yako aliye mbinguni" au nyongeza inaweza kuongezwa ili kufafanua kwamba inamaanisha Roho ya Mungu baba na sio roho ya baba wa ulimwengu. # Baba Hii ni sifa muhimu ya Mungu. # Ndani yako "kupitia ninyi"