# Maelezo kwa ujumla Hapa mwanadishi anatoa majina kumi na mbili ya mitume kama taarifa ya itoayo picha ya nyuma. # sasa Neno hili limetumika hapa kuonesha mwanzo wa simulizi jipya. Hapa Mathayo anaonesha historia ya maisha ya mitume kumi na wawili. # Mitume kumi na wawili Hili kundi ni sawa na kusema "wanafunzi kumi na wawili" katka 10:1 # Kwanza Hi ya kwanza kwa mpangilio si kwa safu # Mkananayo Hii inaweza kumaanisha yafuatayo 1) "Mkananayo" hii ni sifa iliyoonesha kuwa alikuwa ni mshirika wa kundi lililotaka kuwaweke huru wayahudi kutoka kwenye utawala wa Warumi. "Mzalendo" au "mmajumui" au 2) Mkereketwa ni neno linalonesha mtu mwenye kutamani kumjengea heshima Muungu. "mwenye uchu" # Mathayo mtoza ushuru "Mathayo ambaye alikuwa mtoza ushuru" # ambaye atamsaliti yeye "ambaye atamsaliti Yesu"